Kumbukumbu La Sheria 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Usimwogope, maana nimemtia mikononi mwako pamoja na watu wake na nchi yake. Utamtendea kama ulivyomtendea Sihoni mfalme wa Waamori aliyekaa kule Heshboni’.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:1-9