Kumbukumbu La Sheria 29:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika vizazi vijavyo, wazawa wenu na wageni kutoka nchi ya mbali wataona jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoiletea nchi hii maafa na mateso:

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:14-29