Kumbukumbu La Sheria 29:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atamtenga kutoka miongoni mwa makabila yote ya Israeli apatwe na maafa kufuatana na laana zote za agano zilizoandikwa katika kitabu hiki.

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:15-28