Kumbukumbu La Sheria 28:54 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata mtu mpole kabisa na aliyelelewa vizuri sana atamnyima chakula ndugu yake, mkewe ampendaye na mtoto wake atakayesalia;

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:51-56