Kumbukumbu La Sheria 28:53 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui wenu, mtakula watoto wenu ambao Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amewapeni.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:43-56