Kumbukumbu La Sheria 28:33 Biblia Habari Njema (BHN)

“Taifa msilolijua litachukua mazao yote ya nchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mtadhulumiwa na kuteswa daima,

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:24-43