Kumbukumbu La Sheria 28:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Watoto wenu wa kiume na wa kike watatolewa kwa watu wengine huku mkikodoa macho mchana kutwa kuwatazamia warudi, lakini hamtakuwa na nguvu ya kufanya chochote.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:24-34