Kumbukumbu La Sheria 28:3-6 Biblia Habari Njema (BHN)

3. “Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu.

4. “Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.

5. “Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia.

6. Mtabarikiwa mnaporudi nyumbani na mnapotoka nje.

Kumbukumbu La Sheria 28