Kumbukumbu La Sheria 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:1-5