Kumbukumbu La Sheria 26:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Leo hii mmekiri Mwenyezi-Mungu, kuwa Mungu wenu, na kwamba mtafuata njia zake na kushika masharti, amri zake na maagizo yake na kutii sauti yake.

Kumbukumbu La Sheria 26

Kumbukumbu La Sheria 26:9-19