Kumbukumbu La Sheria 26:16 Biblia Habari Njema (BHN)

“Leo hii, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaamuru kuyashika masharti na maagizo haya. Muwe waangalifu kuyatekeleza kwa moyo wote na roho yote.

Kumbukumbu La Sheria 26

Kumbukumbu La Sheria 26:9-19