Kumbukumbu La Sheria 26:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikula zaka yoyote nilipokuwa ninaomboleza; sikuitoa nje ya nyumba yangu nilipokuwa najisi na sikutoa zaka hiyo kwa wafu. Nimekutii ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu; nimefanya kila kitu ulichoamuru.

Kumbukumbu La Sheria 26

Kumbukumbu La Sheria 26:4-19