Kumbukumbu La Sheria 25:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenye hatia anaweza kuchapwa viboko arubaini lakini si zaidi. Mkizidisha kiasi hicho mtakuwa mmemfedhehesha ndugu yenu.

Kumbukumbu La Sheria 25

Kumbukumbu La Sheria 25:1-7