Kumbukumbu La Sheria 25:2 Biblia Habari Njema (BHN)

kama yule aliyehukumiwa amepewa adhabu ya kuchapwa viboko, hakimu atamwamuru huyo alale chini na kuchapwa viboko kulingana na kosa lake.

Kumbukumbu La Sheria 25

Kumbukumbu La Sheria 25:1-5