Kumbukumbu La Sheria 25:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo wakati Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atakapowapumzisha kutokana na mashambulio ya adui zenu wote wanaowazunguka katika nchi ambayo amewapa mwimiliki na kuishi humo, ni lazima muwaangamize Waamaleki wote.

Kumbukumbu La Sheria 25

Kumbukumbu La Sheria 25:9-19