Kumbukumbu La Sheria 25:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Kumbukeni walivyowashambulieni huko njiani mkiwa wanyonge na kuwapiga wale wote waliokuja nyuma yenu wamechoka. Waamaleki hawakumwogopa Mungu.

Kumbukumbu La Sheria 25

Kumbukumbu La Sheria 25:15-19