Kumbukumbu La Sheria 23:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.

Kumbukumbu La Sheria 23

Kumbukumbu La Sheria 23:13-23