Kumbukumbu La Sheria 23:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Unaweza kutoza riba unapomkopesha mgeni, lakini ndugu yako Mwisraeli usimtoze riba, naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, atakubariki katika shughuli zako zote utakazofanya katika nchi ambayo unakwenda kuimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 23

Kumbukumbu La Sheria 23:17-21