Kumbukumbu La Sheria 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Utamwacha mamandege aende zake, lakini unaweza kuchukua makinda. Ukifanya hivyo utafanikiwa na kuishi maisha marefu.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:1-11