Kumbukumbu La Sheria 22:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ukikuta kiota cha ndege mtini au njiani, kina makinda au mayai na mamandege ameyafunika hayo makinda au mayai, usimchukue mamandege na makinda yake.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:5-10