Kumbukumbu La Sheria 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Utafanya vivyo hivyo kuhusu punda au vazi au kitu chochote ambacho nduguyo amekipoteza. Kamwe usiache kumsaidia.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:1-7