Kumbukumbu La Sheria 22:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:1-7