Kumbukumbu La Sheria 21:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo damu hiyo iliyomwagwa haitakuwa tena sababu ya lawama kwenu, maana mmefanya yale Mwenyezi-Mungu aliyotaka myafanye.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:3-14