Kumbukumbu La Sheria 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu, uwasamehe watu wako wa Israeli ambao umewakomboa, usiwawekee watu wako Israeli hatia ya mauaji ya mtu asiye na hatia, ila uwasamehe hatia hiyo.’

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:5-11