Kumbukumbu La Sheria 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Waavi walikuwa hapo awali wakiishi katika vijiji vya mwambao wa Mediteranea mpaka Gaza. Wakaftori kutoka kisiwa cha Kaptori wakawaangamiza, wakaishi humo badala yao).

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:16-32