Kumbukumbu La Sheria 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alifanya kama alivyowafanyia wazawa wa Esau, Waedomu, ambao wanaishi katika nchi ya Seiri. Aliwaangamiza Wahori wakati Waedomu walipofika huko, wakainyakua nchi yao na kuishi humo hadi leo.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:17-28