Kumbukumbu La Sheria 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtaifikia nchi ya Waamoni. Msiwasumbue wala msipigane nao kwa kuwa sitawapeni sehemu yoyote ya hao wazawa wa Amoni; iwe mali yenu. La! Hao ni wazawa wa Loti, na nimewapa hiyo nchi iwe mali yao.’”

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:16-20