Kumbukumbu La Sheria 19:9 Biblia Habari Njema (BHN)

ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake – basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:1-17