Kumbukumbu La Sheria 19:10 Biblia Habari Njema (BHN)

ili mtu asiye na hatia asije akauawa katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na hatia ya mauaji.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:8-16