Kumbukumbu La Sheria 19:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. “Baada ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuwaangamiza watu wale ambao nchi yao anawapeni, na baada ya kuimiliki na kuishi katika nyumba zao,

2. mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 19