Kumbukumbu La Sheria 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu.

Kumbukumbu La Sheria 18

Kumbukumbu La Sheria 18:1-11