Kumbukumbu La Sheria 17:20 Biblia Habari Njema (BHN)

bila kujikuza mwenyewe juu ya ndugu zake, wala kuiweka kando amri hii kwa namna yoyote, ili aweze kudumu katika utawala, yeye na wazawa wake katika Israeli.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:14-20