Kumbukumbu La Sheria 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)

na huko mtawaendea makuhani Walawi, na mwamuzi aliye kazini wakati huo, nanyi mtatoa mashtaka mbele yao, nao watatoa uamuzi wao.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:4-19