Kumbukumbu La Sheria 17:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye mtu asiyejali kumtii kuhani au mwamuzi aliyewekwa hapo kumhudumia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au mwamuzi, mtu huyo atauawa. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:3-17