Kumbukumbu La Sheria 17:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Itawabidi kufanya kufuatana na maongozi watakayowapatia na uamuzi watakaoutoa kwenu. Msiache kutimiza kwa dhati hukumu watakayowatangazia.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:6-16