Kumbukumbu La Sheria 17:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Msimtolee Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, sadaka ya ng'ombe au kondoo mwenye dosari, wala ubaya wowote, maana hilo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:1-11