Kumbukumbu La Sheria 16:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Msipotoshe haki; msiwe na upendeleo, wala msikubali kupokea rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya watu wenye hekima na kupotosha kesi ya mtu mwadilifu.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:17-22