Kumbukumbu La Sheria 16:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:15-22