Kumbukumbu La Sheria 14:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Msile nyamafu yoyote; mnaweza kumpa mgeni anayeishi katika miji yenu, ale, au mnaweza kumwuzia mtu wa taifa lingine, kwa sababu nyinyi ni watakatifu na Mwenyezi-Mungu ni Mungu wenu. Msimchemshe mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.

Kumbukumbu La Sheria 14

Kumbukumbu La Sheria 14:15-25