Kumbukumbu La Sheria 14:14-18 Biblia Habari Njema (BHN)

14. kunguru kwa aina zake,

15. mbuni, kirukanjia, dudumizi, kipanga kwa aina zake,

16. bundi, mumbi, bundi mkubwa,

17. mwari, nderi, mnandi,

18. membe, koikoi kwa aina zake, hudihudi na popo.

Kumbukumbu La Sheria 14