Kumbukumbu La Sheria 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfuateni na kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika amri zake na kuitii sauti yake; mtumikieni na kuambatana naye.

Kumbukumbu La Sheria 13

Kumbukumbu La Sheria 13:1-14