Kumbukumbu La Sheria 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtavila vitu hivyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mahali atakapopachagua Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mtavila nyinyi pamoja na watoto wenu wa kiume na wa kike, watumishi wenu wa kiume na wa kike, na Walawi wanaoishi katika miji yenu.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:16-28