Kumbukumbu La Sheria 12:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Msile vitu vifuatavyo mahali mnapoishi: Zaka ya nafaka zenu, wala ya divai yenu, wala ya mafuta yenu, wala ya wazaliwa wa kwanza wa ng'ombe au kondoo wenu, wala sadaka zenu za nadhiri au tambiko zenu za hiari, wala matoleo mengineyo.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:12-25