Kumbukumbu La Sheria 10:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu sabini tu, lakini sasa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:12-22