Kumbukumbu La Sheria 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Msimpendelee mtu yeyote katika kutoa hukumu; mtawasikiliza bila upendeleo, wakubwa kwa wadogo. Msitishwe na mtu yeyote, maana hukumu mnayotoa inatoka kwa Mungu. Kesi yoyote ikiwa ngumu zaidi kwenu, ileteni kwangu, nami nitaisikiliza.’

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:8-20