Kumbukumbu La Sheria 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wakati huohuo niliwapa waamuzi wenu maagizo yafuatayo: ‘Sikilizeni kesi za watu wenu. Toeni hukumu za haki katika visa vya watu wenu, kadhalika na mizozo ya wageni waishio pamoja nanyi.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:11-21