“Mimi Mwenyezi-Mungu napenda haki;nachukia unyanganyi na uhalifu.Nitawatuza watu wangu kwa uaminifu,nitafanya nao agano la milele.