Isaya 61:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa vile mlipata aibu maradufu,watu wakaona kuwa fedheha ni majaliwa yenu,sasa mtapata eneo maradufu kuwa mali yenu,na furaha yenu itadumu milele.

Isaya 61

Isaya 61:3-9