Isaya 61:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo, kama vile ardhi ioteshavyo mimea,na shamba lichipushavyo mbegu zilizopandwa humo,Mwenyezi-Mungu atasababisha uadilifu na sifakuchomoza mbele ya mataifa yote.

Isaya 61

Isaya 61:1-11