Isaya 61:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitafurahi sana kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu,nafsi yangu itashangilia kwa sababu ya Mungu wangu.Maana amenivika vazi la wokovu,amenivalisha vazi la uadilifu,kama bwana arusi ajipambavyo kwa shada la maua,kama bibi arusi ajipambavyo kwa johari zake.

Isaya 61

Isaya 61:1-11